Aliyemuua Charlie Kirk afunguliwa mashtaka saba

Mwanamume anayeshutumiwa kwa kumpiga risasi CHARLIE KIRK amekiri kumuua mwanaharakati huyo wa mrengo wa kulia katika ujumbe aliomuandikia mpenzi wake, waendesha mashitaka wamedai, huku wakitangaza mashtaka saba dhidi yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS