Dar, Lindi na Mtwara vinara wa ukoma Tanzania Dalili za ukoma Tanzania leo inaadhimisha Siku ya Ukoma Duniani ambapo mikoa ya Lindi, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imetajwa kuwa miongoni mwa mikoa 11 yenye idadi kubwa ya wagonjwa wa ukoma. Read more about Dar, Lindi na Mtwara vinara wa ukoma Tanzania