Roma ashtukia chimbo jipya la hip hop Bongo
Rapa Roma Mkatoliki amefunguka ya moyoni juu ya kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio na kusema ni kipindi ambacho kwa namna tofauti kimekuwa kikitoa nafasi kubwa sana kwa wasanii wa rap Tanzania.