IAAF yawasafisha wanariadha wa Urusi Mwanamichezo Anzhelika Sidorova kutoka Urusi Wanariadha watatu wa Urusi, wamesafishwa kurejea kwenye mashindano ya dunia na bodi ya mapitio ya Chama cha Riadha Duniani IAAF. Read more about IAAF yawasafisha wanariadha wa Urusi