'Kuhama mtandao bila kubadili line', yazinduliwa
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa leo amezindua rasmi mfumo unaomwezesha mtumiaji wa huduma za mawasiliano ya simu kuhama kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine bila kubadili 'line' maarufu kama Mobile Number Portabil

