Ujumbe wa Naibu Spika kwa taifa kuhusu wasichana
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Mwansasu ameitaka jamii kuwa na utaratibu wa kuongea na vijana wa kike ikiwa ni pamoja na kuwaweka wazi juu ya njia mbalimbali za kujisitiri pindi wanapoanza kuona mabadiliko katika miili yao.
