Ndalichako ataka wanafunzi wapimwe dawa za kulevya
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amewaagiza wakuu wote wa vyuo nchini kuwatambua wanafunzi wao wanaojihusisha na matumizi ya dawa za kulevya na kupeleka taarifa kwake.

