Muziki wa sasa una ladha ya bubble gum - Squeezer
Mwanamuziki mkongwe katika anga la bongo fleva Squeezer amefunguka juu ya muziki unaofanywa na vijana wengi wa sasa kwamba hauwezi kudumu kwani wengi wanaokimbilia kufanya sanaa hiyo hawana ubunifu wa kutosha.

