Msami amvaa AT ishu ya wasanii kubebwa Msanii Msami amemchana AT na kumtaka aboreshe kazi zake badala ya kulalamika kuwa kuna watu wanaobebwa huku akimuonya kwamba wasanii anaowaita wacheza shoo wana maisha mazuri na mafanikio makubwa kumzidi yeye. Read more about Msami amvaa AT ishu ya wasanii kubebwa