Matunda ya 'Elimu Bure' yawekwa hadharani
Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Haki Elimu unaonesha kuwa fedha za ruzuku kwa ajili ya elimu bure zinazopelekwa mashuleni hazizingatii idadi ya wanafunzi kama ambavyo inapaswa kuwa jambo ambalo limekuwa likiwapa wakati mgumu walimu wakuu mashuleni.

