Bei mpya za mafuta ni balaa Kituo cha mauzo ya mafuta Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei elekezi za mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi Machi mwaka huu ambapo mafuta ya petroli na disel kwa bei za jumla na reja reja imepanda. Read more about Bei mpya za mafuta ni balaa