Ulimwengu aikosa Stars Kikosi cha Taifa Stars kilichoingia kambini kuanzia jana, kitamkosa mshambuliaji Thomas Ulimwengu anayekipiga AFC Eskilstuna ya Sweden, kutokana na kuwa majeruhi. Read more about Ulimwengu aikosa Stars