Mashabiki wakerwa na kitendo cha Aucho kwa Mukwala
Aucho akimnyang'anya mpira Mukwala
Tukio la AUCHO na MUKWALA katika mchezo wa kufuzu kombe la dunia wakiwa katika timu yao ya Taifa ya Uganda hapo jana dhidi ya Somalia baadhi ya Watanzania wamelitafsiri kama bifu za Simba na Yanga