Klabu ya Yanga ipo matatani

Katibu Mkuu wa klabu ya klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa

Klabu ya Yanga imethibitisha kudaiwa kodi takribani shilingi Milioni 300 na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambayo ni kodi ya jengo la Kaunda liliopo eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS