Mr P abadilisha tarehe yake ya siku ya kuzaliwa Aliyekuwa msanii wa kundi la P Square Mr P ametangaza kubadili tarehe ya siku yake ya kuzaliwa kutoka Novemba 18 ambayo ndio siku amezaliwa na pacha wake Rude Boy hadi kuwa Tarehe 30 Novemba Read more about Mr P abadilisha tarehe yake ya siku ya kuzaliwa