Rais Samia akutana na viongozi wa Wizara ya Ulinzi Mazungumzo hayo ambayo pia yamehudhuriwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka yamefanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar. Read more about Rais Samia akutana na viongozi wa Wizara ya Ulinzi