Taifa Stars yarejea Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kimewasili nchini leo asubuhi kikitokea nchini Benin ambako kilienda kucheza mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA. Read more about Taifa Stars yarejea