AUDIO : Niyonzima afunguka kifo cha Ndikumana Mchezaji wa Klabu ya Simba raia wa Rwanda Haruna Niyonzima amefunguka na kusema kuwa kinachodaiwa kupelekea kifo cha Mchezaji mwenzake Hamadi Ndikumama ni maumivu ya kichwa. Read more about AUDIO : Niyonzima afunguka kifo cha Ndikumana