Nani kuanza kati ya Zlatan na Lukaku ? Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema mshambuliaji wa timu hiyo Zlatan Ibrahimovic ataanzia benchi kwenye michezo yake ya mwanzo ili aendelee kuimarika zaidi. Read more about Nani kuanza kati ya Zlatan na Lukaku ?