Siendi chooni nikasindikizwa na Mbwa - Mr. Nice
Msanii Mr. Nice ambaye siku nyingi amekuwa kimya kwa kutotoa kazi mpya, amejitapa na kusema kwamba kazi zake za mwanzo zilimpa faida kubwa na kuwekeza kiuchumi, kitendo ambacho kimemfanya aishi maisha ya raha sasa hivi.