Tanzania yafanikisha upasuaji wa kihistoria Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na hospitali ya BLK ya New Delhi, India imefanikiwa kwa kufanya upasuaji wa kihistoria wa upandikizaji wa figo (Rnal Transplant ) siku ya Junanne, Novemba 21 Read more about Tanzania yafanikisha upasuaji wa kihistoria