Azam FC yajivunia kijana wa maajabu

Klabu ya soka ya Azam FC kupitia kwa msemaji wake Jaffary Idd imesema kitendo cha chipukizi wao Paul Peter kupata mkataba wa miaka minne kwenye kikosi hicho ni mfano kwa vijana wengine waliopo timu za chini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS