Hii ndio ratiba ya Rais wa FIFA nchini
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe leo amethibitisha kuwa Rais wa FIFA Gianni Infantino atatua nchini Alfajiri ya Februari 22 kwaajili ya kuongoza mkutano mkuu wa mwaka wa FIFA na baadae kuonana na Rais Magufuli.

