''Nipe changu nilipe nisepe'' - Naibu Waziri

Naibu  waziri wa madini  Stanslaus Nyongo amewataka wamiliki wa mgodi wa GGM, mkoani Geita kuwalipa fidia wananchi ambao wamewaondoa kwenye maeneo yao na kuacha visingizio vinavyowakandamiza wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS