Wasimamizi wa uchaguzi kutumia bahasha maalumu
Wito huo umetolewa leo katika ukumbi wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia MUST kabla ya kuwaapisha wasimamizi wa vituo vya kupigia kura kutoka majimbo ya Uyole na Mbeya Mjini huku akiwataka kuwa makini kupanga na kuweka taarifa katika bahasha zilizopangwa.


