Shule zafungwa Mali kisa uhaba wa mafuta

Wanamgambo kutoka kundi la Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin linaloungwa mkono na al-Qaida walitangaza kupiga marufuku uagizaji wa mafuta kutoka nchi jirani kuingia Mali mapema Septemba, wakikandamiza uchumi dhaifu wa nchi hiyo isiyo na bandari.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS