Bball Kings 2017 ilivyozalisha timu ya taifa
Katibu Mkuu wa shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini (TBF) Michael Mwita amesema kuwa asilimia themanini ya Kikosi cha Mpira wa kikapu kwa vijana wenye umri chini ya miaka 18 ni zao la Sprite Bball Kings 2017.