TFF yamtangaza mchezaji bora Mchezaji wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shaaban Idd Chilunda amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu soka Tanzania Bara (VPL) kwa mwezi Mei. Read more about TFF yamtangaza mchezaji bora