Mwakyembe aipa Yanga miezi miwili
Baada ya klabu ya Yanga kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka hapo jana na kufanikiwa kuteua kamati ya kuivusha timu kwenye kipindi cha mpito, timu hiyo imepewa miezi miwili na Waziri Mwakyembe ili ikamilishe uchaguzi wake.