Mashabiki wa mbeya city wakiwa katika muonekano wa jezi mpya watakazo tumia msimu ujao.
Kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara 2018/2019, klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya imezindua rasmi jezi zao mpya zitakazozitumikia katika michezo ya VPL na Kombe la FA msimu utakaoanza hivi karibuni.