IGP Sirro atoa onyo kuhusu bahari
Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kali kwa watu wanaofanya vitendo vya uhalifu katika bahari, maziwa na mito mikubwa hapa nchini kuacha mara moja kwa kuwa wamejipanga kuhakikisha wavuvi wana kuwa salama wakati wanapofanya shughuli zao.