“CUF itashiriki uchaguzi wa Ubunge” - Sakaya

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya amesema chama hicho kitashiriki uchaguzi wa ubunge katika majimbo ya Buyungu, Jangombe na kwenye Kata 79.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS