Yanga yawajibu Simba kwa mpigo Kikosi cha Yanga. Mabingwa wa kihistoria katika soka laTanzania, Yanga imeanza kujibu mapigo ya watani zao wa jadi Simba kwa kunasa saini mpya za wachezaji wawili, ambao watajiunga na klabu hiyo kwa msimu ujao wa Ligi Kuu bara. Read more about Yanga yawajibu Simba kwa mpigo