Aslay apigwa onyo Msanii Aslay. Msanii wa Bongofleva Beka Flavour amefunguka na kumtaka mwanamuziki mwenzake Aslay kuongeza nguvu na maarifa kwenye muziki wake ili aweze kufika mbali zaidi huku akimsii kuachana na masuala ya kiki za mitandoni. Read more about Aslay apigwa onyo