Antonio Guterres alaani msikiti kuchomwa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali tukio la kuchomwa moto kwa msikiti wa Hajja Hamida katika Ukingo wa Magharibi akieleza kuwa mashambulizi dhidi ya maeneo ya ibada kamwe hayakubaliki.

