Matukio 3 ya kusisimua fainali ya EURO 2025
Baada ya timu ya taifa ya wanawake ya England, kuandika historia nyingine ya kutwaa taji EURO kwa mara ya pili mfululizo mbele ya Uhispania, naomba nikudokeze baadhi ya mambo muhimu ambayo pengine huyafahamu katika mchezo huo yaliyoibua hisia ya mamilioni ya watu ulimwenguni.