"Lulu ana baba wengi"- Mama Kanumba
Mama mzazi wa aliyekuwa msanii wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba Florah Mtegoa amefunguka kuwa hana chuki na msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) na ikitokea akapata mualiko wa kuhudhuria harusi yake atakwenda japo mwanadada huyo ana mababa wengi.