Kahawa yamponza mkuu wa polisi mkoani Kagera
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amemhamisha kituo cha kazi kamanda wa Polisi Wilaya ya Kerwa mkoani Kagera, Justine Joseph, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zilitolewa dhidi yake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa madai ya kusafirisha kahawa nje ya nchi.