Mbwana Samatta kuhusu Real Madrid na Barcelona
Nyota wa soka wa Tanzania anayekipiga katika klabu za ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta amewataka wachezaji kutoridhika au kukata tamaa kwani hata yeye bado anajituma kwasababu Genk sio Real Madrid wala Barcelona.