Mwanamke ahukumiwa kisa picha chafu za watoto
Mwanamke mmoja wa makamo, Regina Munyoki maarufu kama Big Mama, amefikishwa katika Mahakama ya Mombasa nchini Kenya akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza picha za ngono za watoto na utakatishaji wa fedha.