Maombi ya dharura ya ardhi kusikilizwa leo
Chanzo cha mgogoro huo ni umiliki wa kiwanja namba 589, Kitalu kilichopo eneo la Kigamboni, ndani ya Manispaa ya Kigamboni, Jijini Dar es Salaam ambapo pande zote katika shauri hilo zinadai haki ya umiliki wa kiwanja hicho.

