Simba kuondoka kesho na kigogo wa TFF

Wachezaji wa Simba

Klabu ya soka ya Simba kesho inatarajiwa kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia ambako itacheza mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya kwanza dhidi ya Nkanda Reds ya huko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS