Tambwe atakata taifa, Boban aishia njiani Kikosi cha Yanga katika mchezo wa leo Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Tukuyu Stars katika uwanja wa taifa na kusonga mbele hatua ya 32 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC). Read more about Tambwe atakata taifa, Boban aishia njiani