Bobi Wine azuiliwa tena Uganda Bobi Wine akiwa na maafisa wa Polisi Mbunge wa upinzani nchini Uganda na mwanamuziki wa Pop, Bobi Wine amezuiliwa kufanya matamasha nchini humo leo Desemba 26 kama alivyokuwa amepanga hapo awali. Read more about Bobi Wine azuiliwa tena Uganda