Mastaa wa soka walivyoungana kupinga ubaguzi

Kalidou Koulibaly akiwa na Dries Mertens (Napoli) na Mauro Icardi (Inter)

Kufuatia kitendo cha ubaguzi wa rangi alichofanyiwa mchezaji wa klabu ya Napoli na timu ya taifa ya Senegal, Kalidou Koulibaly katika mchezo wa ligi kuu ya Italia kati ya Inter Milan na Napoli, wachezaji mbalimbali wamejitokeza na kupinga kitendo hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS