Rais amtetea Jaji Mkuu, Mawakili kutojua kingereza
Rais wa Chama Cha Wanasheria nchini TLS, Fatma Karume amefafanua juu ya kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma aliyoitoa hivi karibuni juu ya kuwa Mawakili wengi nchini wanaohitimu hawajui kujieleza vizuri kwa kingereza na kusema kauli hiyo haikulenga kuwadhalilisha mawakili.