Simba haitamsahau Rais Magufuli
Moja ya matukio makubwa kwenye soka kwa mwaka 2018 ni lile la Rais John Magufuli kukubali kwa mara ya kwanza kushiriki kwenye tukio la michezo ambalo lilikuwa ni kukabidhi ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara kwa mabingwa wa 2017/18, Simba SC.

