Wachezaji wa Simba kurudia walichokifanya Novemba?
Baada ya kukosekana kwenye ligi kuu kwa takaribani mwezi mzima, mabingwa watetezi Simba SC leo wanarejea kukipiga na KMC huku wakiwa na kazi ya kukwepa kurudia walichokifanya Novemba 23 walipocheza na Lipuli FC.