Mauaji ya watoto Njombe, matajiri kuchunguzwa

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole-Sendeka.

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amezindua oparesheni maalum ya kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya watoto katika Mkoa wa Njombe kufuatia kuongezeka kwa mauaji ya watoto kwenye mkoa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS