Thamani ya Lakers ni sawa na nusu bajeti ya Tz
Hapo jana moja ya stori kubwa katika ulimwengu wa michezo ilikuwa ni rekodi iliyowekwa na klabu ya mpira wa kikapu ya Los Angeles Lakers inayoshiriki ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA, ambapo imeweka rekodi ya kuwa timu pekee iliyonunuliwa kwa bei ghali zaidi duniani.